![]() |
| MGAMBO |
Mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Mgambo JKT
dhidi ya wageni wake, Mbeya City imeahirishwa.
Mechi hiyo imeahirishwa baada mvua kubwa
kunyesha mkoani Tanga.
Kutokana na mechi hiyo kubwa, ililazimika
kusimamishwa kwa mchezo kwa muda.
Baadaye waliporejea uwanjani ikaonekana
mechi isingeweza kuchezwa.








0 COMMENTS:
Post a Comment