Beki Fabrice Muamba ambaye aliwahi kuanguka uwanjani lakini akanusurika kifo kutokana na ugonjwa wa moyo, juzi aliibuka kwenye sherehe maalum ya mavazi ya kutisha akiwa na muonekano tofauti.
Muamba akiwa na mkewe walivaa mavazi kama watu fulani waliokuwa na damu, huku wakiwa na ubao unaosisitiza watarejea halafu wenye maneno "Pumzika kwa Amani".
Katika siku za hivi karibuni, Muamba amekuwa akijishughulisha na masuala ya taasisi zinazohusika na magonjwa ya moyo.

0 COMMENTS:
Post a Comment