Kocha Carlo Ancelotti yuko katika mazungumzo ya mwisho na klabu ya
Real Madrid na imeelezwa amekubali kuongeza mwaka mmoja.
Ancelotti amefanya mazungumzo na Rais wa Madrid, Florentino Pérez.
Taarifa zinaeleza mkataba mpya wa Anceloti utatangazwa kabla ya
mechi ya Kombe la Dunia la klabu itakayopigwa nchini Morocco.
Imeelezwa tayari mkataba huo utakuwa hadi hadi Juni 30, mwakani
ingawa kuna juhudi zinafanywa iwe hadi mwaka 2017.








0 COMMENTS:
Post a Comment