Mtibwa Sugar imeichapa Simba kwa mabao 4-2
katika mechi ya kirafiki iliyopigwa leo.
Katika mechi hiyo iliyovurumishwa kwenye
Uwanja wa Chamazi jijini Dar, mechi ilikuwa kali na ya kuvutia.
Hata hivyo, Simba ilionekana kuwa na makosa
mengi kwenye ulinzi na hasa kipa Ivo Mapunda na kusababisha kuruhusu mabao hayo
manne ya Mussa Hassan Mgosi aliyefunga mawili na Ame Ali.
Mabao ya Simba yalifungwa na Amissi Tambwe
pamoja na Said Ndemla.













0 COMMENTS:
Post a Comment