CISSE SHUJAA AIFUNGIA NEWCASTLE ZOTE MBILI, HATIMAYE CHELSEA YAPOTEZA Papis Cisse amefunga mabao mawili wakati Newcastle ikipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Chelsea. Chelsea ilikuwa haijafungwa kwenye Ligi Kuu England. Huo ni mchezo wake wa kwanza kupoteza. Bao pekee la Chelsea lilifungwa na Didier Drogba.
0 COMMENTS:
Post a Comment