Mshambuliaji Hamis Kiiza ameifungia Yanga bao pekee katika mechi
ya kirafiki dhidi ya Express ya Uganda.
Kiiza amefunga bao hilo katika dakika tatu za nyongeza katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Dakika 90 zote zilikuwa za ushindani mkubwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment