Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu
amefunguliwa mashitaka ya madai ya ubadhirifu wa fedha.
Taarifa zinaeleza Njovu na ofisa mwingine wa
masuala ya fedha aitwaye Rose ndiyo watuhumiwa.
Lakini bado uongozi wa Yanga haujaweka wazi
kuhusiana na suala hilo.
Imeelezwa tayari mashitaka hayo
yamefunguliwa na Rose alishikiliwa na sasa yuko nje kwa dhamana.
Hata hivyo, uongozi wa Yanga umeshindwa
kuweka wazi ubadhirifu hasa ni upi kwa kuwa Njovu hakuwa amekabidhi ofisi.
Taarifa zilieleza kama wahusika hao
wangekuwa wamekabidhi ofisi, huenda ingekuwa ni lahisi kujua kama kuna
upungufu.
0 COMMENTS:
Post a Comment