December 24, 2014


Mshambuliaji mpya wa Yanga, Amissi Tambwe ameumia nyama za paja.


Tambwe ameumia wakati wa mazoezi ya Yanga yaliyofanyika katika Uwanja wa Boko jijini Dar, jana.
Tambwe ameumia baada ya kugongwa na beki Rajab Zahir.

Hali hiyo inaonyesha kuzua hofu kwamba kama Tambwe aliyejiunga na Yanga akitokea anaweza kurejea  uwanjani na kucheza dhidi ya Azam FC.

Yanga inaivaa Azam FC wikiendi hii katika mechi ya Ligi Kuu Bara.


Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na Tambwe ni kati ya wachezaji wanaotarajiwa kuongoza mashambulizi ya Yanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic