Mshambuliaji wa Man City, Sergio Aguero
ambaye anaongoza kwa kuwa na mabao 14 katika Premier League alijikuta akimwaga
chozi uwanjani.
Aguero alilia kwa uchungu baada ya kutakiwa
kutoka nje ya uwanja na daktari wa Man City.
Daktari alichukua uamuzi huo baada ya kuona
Aguero alikuwa ameumia goti tena.
Ilikuwa ni ndani ya dakika moja tu katika mechi
dhidi ya Everton ambayo iliisha kwa City kushinda 1-0.
Ageuro amekuwa akihangaishwa na maumivu ya
goti mara kwa mara.









0 COMMENTS:
Post a Comment