December 29, 2014


Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm alipiga picha na shabiki mdogo zaidi wa Yanga katika mechi dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Pluijm alimshika mkono mtoto huyo anayekadiriwa kuwa na umri hadi wa miezi nane.


Baada ya hapo kocha huyo alikwenda kuungana na wachezaji wake uwanjani kabla ya kuanza kwa mechi hiyo iliyopisha kwa sare ya mabao 2-2.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic