Mshambuliaji Fernando
Torresis sasa
amenuia kurejea kwao Hispania.
Tayari kuna
mazungumzo na yamefikia hatua nzuri sana, ikiwezekana Torres katika klabu yake
iloyomkuza ya Atlético de
Madrid.
Mazungumzo kati
ya Atletico na Chelsea yameanza ingawa kwa sasa Torres anakipiga kwa mkopo AC
Milan.
Aliondoka Atlético
de Madrid miaka saba iliyopita na kujiunga na Liverpool aliyopata mafanikio
makubwa.
Lakini baada ya
kujiunga na Chelsea kwa dau kubwa la pauni milioni 50, mambo yalianza kwenda
kombo bila breki.
0 COMMENTS:
Post a Comment