Pluijm raia wa Uholanzi alicharuka na kumfuata Dida alipokuwa amekaa kwenye benchi akihoji kosa tena la kizembe la kuacha lango lililosababisha Azam FC kupata bao la pili la kusawazisha.
| ....NAZUNGUMZA NA WEWE, USIJIKAUSHE. |
| ...HIVI HUWEZI KUONA VIZURI? |







0 COMMENTS:
Post a Comment