January 22, 2015

AFRICAN SPORTS

African Sports ya Tanga sasa inanukia Ligi Kuu Bara baada ya kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Kimondo kwenye Uwanja wa Mkwakwa mjini Tanga, leo.


Ushindi huo unaifanya African Sports ifikishe pointi 38 ikiwa kileleni.

Imebakiza mechi nne tu na inaweza ikawa imejihakikishia kupanda kama itashinda mechi mbili zijazo za ligi hiyo.

Timu nyingine yenye nafasi kubwa ya kupanda kwenye kundi hilo ni Majimaji ya Songea.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic