January 22, 2015

FRIENDS OF WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA SIMBA, LEO.
 Wanachama wa Simba wanaounda Kundi maarufu la Friends of Simba (Fos) leo wameibuka kwenye mazoezi ya Simba wakiongezwa na Mwenyekiti wa Simba, Evans Aveva.



Wanachama hao maarufu wa Fos kama Musley Al Rawah, Jerry Ambi, Adam Mgoyi, Mohammed Kigoma, Collins Frisch na Geofrey Nyange 'Kaburu' walihudhuria mazoezi hayo ya Simba na kuzungumza na Kocha Goran Kopunovic.


 Ilionekana ni sehemu ya kuihamasisha timu katika mechi zinazofuatia za Ligi Kuu bara baada ya kuwa imenza kufanya vema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic