January 29, 2015

Mapenzi kutoka moyoni si kitu cha kuchezea, na mfano wake ni yule askari aliyeshindwa kujizuia na kuanza kuwakumbatia wachezaji kadhaa wa Mbeya mara baada ya kufanikiwa kuifunga Simba kwa mabao 2-1, jana.



Askari huyo wa Jeshi la Zimamoto Tanzania, alitoka upande aliokuwa amesimama na kwenda kumpongeza kipa wa Mbeya City kabla ya kuwapongeza wachezaji wengine.

Alionekana wazi kuwaonyesha mapenzi wachezaji hao na kuwapongeza kwa ushindi uliokuwa mgumu.

Askari wengi wanaokuwa uwanjani hapo, ni nadra yoyote kujitokeza na kuwakumbatia wachezaji wa timu fulani, huenda kwa kuwa wako kazini.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic