January 25, 2015


CAMEROON, MOJA YA TIMU INAYOPEWA NAFASI YA KUBEBA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA IMEBANWA NA KUAMBULIA SARE YA PILI MFULULIZO BAADA YA KUMALIZA DAKIKA 90 KWA BAO 1-1 DHIDI YA GUINEA KATIKA MECHI YA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA, LEO.

IVORY COAST, TIMU YENYE NYOTA WENGI KWENYE MICHUANO YA AFCON, NAYO IMEBANWA NA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA MALI. HIVYO KUFANYA KUNDI LAO LENYE TIMU ZA CAMEROON, MALI, GUINEA KUWA LINAFANANA KWA POINTI KWA KUWA TIMU ZOTE ZINA POINTI 2 KILA MOJA BAADA YA SARE MBILI KWA KILA MOJA HIVYO MECHI YA MWISHO ITAAMUA TIMU IPI INASONGA MBELE.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic