RASMI SAMUEL ETO'O AMETUA SAMDORIA YA ITALIA AKIWA MCHEZAJI HURU KUTOKA EVERTON YA ENGLAND AMBAYO ALIJIUNGA NAYO AKIWA HURU AKITOKEA CHELSEA. SAMPDORIA INASHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MSIMAMO WA SERIEA A, INATARAJIA KUMTAMBULISHA ETO'O KABLA YA MECHI YAKE YA SERIEA A DHIDI YA PALERMO KESHO JUMAPILI.
0 COMMENTS:
Post a Comment