January 10, 2015


Chelsea sasa imefikisha pointi 49 baada ya kuishinda Newcastle kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge jijini London.



Ushindi huo umeifanya izidi kujichimbia kileleni huku wapinzani wake Manchester City wakikamatwa kwa sare ya 1-1 wakiwa ugenini hivyo kubaki na pointi 47.

Awali, kabla ya mechi za leo timu zote zilikuwa zikichuana vikali kila ikiwa na pointi 46.

Chelsea itatoa shukurani kwa Oscar na Diego Costa waliofunga bao moja kila mmoja.

Lakini kwa Man City, kiungo Fernandinho ndiye alianza kuifungia lakini Naismith akasawazisha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic