Kipa wa Arsenal, Wojciech
Szczesny amelambwa faini ya pauni 20,000 kwa kosa la kukutwa akivuta sigara
muda mchache baada ya mechi.
Szczesny ,24, alisababisha
bosi wake, Arsene Wenger kupandwa na hasira kutokana na kitendo hicho.
Tukio hilo limetokea muda
mchache baada ya Arseal kufanikiwa kuishinda Southampton kwa mabao 2-0.








0 COMMENTS:
Post a Comment