Katika mechi hiyo tamu kwenye Uwanja wa
Amaan, Zanzibar leo. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na Henry Joseph katika
dakika ya 44.
Henry alifunga bao hilo kwa shuti kali
akimalizia kona iliyochongwa na david Luhende.
Nusura Danny Sserunkuma, Mganda pekee
aliyekuwa uwanjani leo aipatie Simba bao lakini kichwa alichopiga kilipaa juu
kidogo.
0 COMMENTS:
Post a Comment