January 13, 2015



Pamoja na kutwaa tuzo ya Kocha Bora wa Dunia 2014, Joachim Low wa Ujerumani ameonyesha ushujaa kwa kutoa wazo la wachezaji wanaobadilishwa kuongezwa kutota watatu hadi wanne.


Kawaida timu hutakiwa kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu tu.

Lakini Low aliyeiwezesha Ujerumani kutwaa Kombe la Dunia nchini Brazil, amesema wakiongezeka hadi wachezaji wanne, itaongeza utamu wa soka.

Kocha huyo amesema hilo siku ambayo amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo akiwashinda Diego Simeone na Carlo Ancelotti.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic