January 13, 2015


Pamoja na kutangazwa tuzo mbalimbali kwenye Ballon d’Or leo, pia kilitangazwa kikosi cha wachezaji 11 bora kwenye nafasi zote 11 uwanjani.

Mchezaji mmoja tu kutoka Ligi Kuu England ambaye ni Angelo Di Maria wa Manchester United ndiye alitajwa.
Wengine wanatokea katika klabu za Hispania, Ujerumani na Ufaransa huku Italia ikiambulia patupu.

WACHEZAJI BORA 11 DUNIANI AU KIKOSI NAMBA MOJA BORA DUNIANI CHA FIFA HIKI HAPA.

World XI: 

Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Robben 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic