Kocha
alikula bonge la mweleka baada ya kupigwa na mpira wa nguvu wakati beki wake
akiondosha hatari.
Ilikuwa
ni mechi ya Serie A kati ya timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa.
Kikosi
cha Mancini kilimaliza dakika 90 na ushindi wa mabao 3-1.
Beki
Nemanja Vidic alifunga bao la tatu likiwa la kwanza kwake akiwa na klabu hiyo
aliyojiunga nayo akitokea Manchester United.









0 COMMENTS:
Post a Comment