KOCHA MPYA WA SIMBA, GORAN KOPUNOVIC RAIA WA SERBIA, KWA MARA YA KWANZA ALIMUONA KOCHA MKUU WA YANGA, HANS VAN DER PLUIJM KUTOKA UHOLANZI. WAWILI HAO WALIKUTANA KWENYE UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAR WAKATI SIMBA IKIPAMBANA NA MTIBWA SUGAR KATIKA KOMBE LA MAPINDUZI. HATA HIVYO, KOPUNOVIC ALIYEONGOZANA NA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA, COLLINS FRISCH NA PLUIJM ALIYEKUWA NA MSAIDIZI WAKE, CHARLES BONIFACE MKWASA, KILA MMOJA ALIONEKANA KUCHUKUA TIME YAKE, KIVYAKE NA ALIENDELEA NA MAMBO YAKE. AAAH, KWELI HAWAJUANI! |
0 COMMENTS:
Post a Comment