Azam FC imeanza michuano ya Kombe la
Mapinduzi kwa sare ya mabao 2-2.
Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Amaan
mjini Zanzibar.
Azam FC walianza kupata bao kupitia nahodha
John Bocco, KCCA wakasawazisha na baadaye Salum Abubakari ‘Sure Boy’ akafunga
tena, Waganda wakasawazisha tena.
0 COMMENTS:
Post a Comment