Mtibwa Sugar
imetinga fainali baada ya kuing’oa Azam FC kwa mikwaju ya penalti.
Katika mechi hiyo
kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar, timu hizo zilimaliza kwa sare ya bao 1-1,
Kipre Tchetche akiisawazishia Azam FC Azam katika dakika ya 89. Mtibwa ilianza
kupata bao kupitia Shomari Ally katika dakika ya 68.
Mikwaju ya penalti
7-6 ndiyo iliyoing’oa Azam FC baada ya kipa Aishi Manula kukosa.










0 COMMENTS:
Post a Comment