RUVU SHOOTING |
Ruvu Shooting imevunja mwiko wa Mtibwa Sugar kwa kuichapa mabao 2-1.
Mtibwa ilikuwa ni timu pekee ambayo ilikuwa haijapoteza hata mchezo mmoja.
Katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mabatini mjini Mlandizi, Mtibwa walitangulia kufunga bao kabla ya wenyeji kusawazisha na kufunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti.
0 COMMENTS:
Post a Comment