KIKOSI CHA COASTAL MSIMU ULIOPITA |
Coastal Union imetumia
salamu Yanga baada ya kuitwanga Stand United kwao mjini Shinyanga kwa bao 1-0.
Baada ya mechi hiyo,
Coastal Union inashuka dimbani tena Februari 4 dhidi ya Yanga.
Mechi hiyo, Coastal Union
itakuwa nyumbani Mkwakwani dhidi ya Yanga.
Katika mechi ya leo,
Coastal Union ilimiliki kipindi cha kwanza huku wenyeji Stand wakiamka katika
kipindi cha pili, lakini wakashindwa kusawazisha.
0 COMMENTS:
Post a Comment