JACKIE CHAN AKIWA NA JAYCEE |
BEIJING, China
JAYCEE Chan ambaye ni mtoto wa nguli wa filamu nchini China, Jackie
Chan, amehukumiwa kwenda jela kwa miezi sita kutokana na kukutwa na madawa ya
kulevya aina ya bangi.
Jaycee ambaye ana umri wa miaka 32, alikuwa akitumia madawa hayo
ambapo alikutwa na kilo 100 za bangi ambapo pia amepigwa faini ya dola 322.
Baba wa kijana huyo, Jackie Chan amesema mwanaye ameifedhehesha
familia yake kwa kiwango cha juu.
0 COMMENTS:
Post a Comment