SHABIKI MWENYE HASIRA ATAKA KUVAA WENGER, WALINZI WAMUWAHI SHABIKI MMOJA ALISHINDWA KUJIZUIA AKATAKA KUMVAA KOCHA ARSENE WENGER BAADA YA ARSENAL KUPOKEA KIPIGO CHA MABAO 2-0 KUTOKA KWA SOUTHAMPTON WALIOKUWA NYUMBANI. HATA HIVYO WALINZI WA UWANJA WA ST MARY WALIMUWAHI NA KUMUONDOA SHABIKI HUYO.
0 COMMENTS:
Post a Comment