Ronaldo
Nazario di Lima, amechagua kikosi cha wachezaji bora 11 wa dunia.
Katika
kikosi hicho amemtosa wajina wake Cristiano Ronaldo na kumchukua Lionel Messi.
Kikosi
alichokichagua Ronaldo ni hivi katika mfumo wa 3-4-3…
Kipa
José Ángel Iribar; mabeki; Cafú, Franz Beckenbauer na Paolo Maldini. Viungo Xavi Hernández, Johan Cruyff, Zinedine
Zidane na Diego Armando Maradona na washambuliaji ni Lionel Messi, Alfredo di
Stéfano na aPelé.
0 COMMENTS:
Post a Comment