January 5, 2015


RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF), JAMAL MALINZI AKIPIGA MKWAJU WA PENALTI WAKATI WA UFUNGUZI WA MECHI YA WANAWAKE KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA. MALINZI AMEINGIA KWENYE KAMPENI YA KUHAKIKISHA ANASAIDIA KUINUA SOKA LA VIJANA NA WANAWAKE.
PENELTI HIYO ILIWAVUTIA WENGI KWA KUWA MALINZI ALIKWENDA KASI NA BAADA YA KUPIGA NUSURA SURUALI YAKE IINGIE MUSHKELI. HEHEHEHEHE.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic