KIKOSI CHA YANGA CHINI YA HANS VA DER PLUIJM KIMEANZA KUJIFUA KWENYE UWANJA WA TAIFA KUJIANDAA KATIKA MECHI YAO YA KWANZA YA KOMBE LA SHIRIKISHO DHIDI YA BDF XI YA BOTSWANA. PLUIJM AKISAIDIA NA BONIFACE MKWASA AMEKIONGOZA KIKOSI HICHO KATIKA MAZOEZI HUKU WAKIUZOEA VEMA UWANJA HUO KABLA YA KUWAVAA WASWANA HAO. |
0 COMMENTS:
Post a Comment