February 10, 2015


KOCHA HANS VAN DER PLUIJM AMEMUONYESHA MCHEZAJI WAKE COUTINHO KWAMBA YEYE BADO WAMO BAADA YA KUUCHEZEA MPIRA VILIVYO KABLA YA KUPIGA PASI 'TAMU' HUKU AKIWA AMEANGALIA UPANDE MWINGINE KAMA AMBAVYO ALIKUWA AKIFANYA KIUNGO NYOTA WA BRAZIL, RONALDINHO.
BAADA YA PASI HIYO YA PLUIJM, WACHEZAJI WALISHANGILIA HALAFU MWENYE ALIONEKANA YUKO BIZE NA MAMBO MENGINE KUWA HILO NI JAMBO LA KAWAIDA TU.
YANGA IMEENDELEA NA MAZOEZI KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR KUJIWINDA NA MECHI DHIDI YA KOMBE LA SHIRIKISHIKO DHIDI YA BDF XI YA BOTSWANA.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic