Mchezaji Robbie Neilson alijikuta kwenye maumivu
makubwa baada ya kulambwa kiatu cha uso kutoka kwa nahodha wa timu ya Livingston,
Jason Talbot.
Hiyo ilitokea wakati Livingston ikipambana na
Hearts katika Ligi ya Scotland.
Nicholson
alilazimika kupata matibabu na kushonwa nyuzi kadhaa baada ya buti hilo la
Talbot.
Walikuwa wanawania mpira wa juu, wakati Neilson akiruka
kupiga kichwa, Tailbot alipeleka mguu na kumjeruhi vibaya.
0 COMMENTS:
Post a Comment