MKALI WA MIONDOKO YA HIP HOP, KANYE WEST AMEKUTANA NA LEWIS HAMILTON ANAYENG'ARA KWENYE MBIO ZA MAGARI YA LANGALANGA ANAYEELEZWA KUWA MMOJA WA MASHABIKI ZAKE. WAWILI HAO WAMEKUTANA NA KUPIGA PICHA PAMOJA KWENYE PATI YA PRE-GRAMMY KUELEKEA TUZO HIZO KUBWA DUNIANI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment