Mashabiki wa Cologne walifanya vurugu ya
aina yake jana baada ya kikosi chao kuchapwa kwa bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao
wakubwa Borussia Monchengladbach.
Baada ya hapo, mashabiki hao wakiwa
wamevalia Kininja, rangi nyeusi na nyeupe, walivamia uwanjani na kuanzisha
tafrai.
Mashabiki wa Cologne nao walilazimika
kujibu mapigo na kusababisha polisi kuingia.
Lilikuwa zoezi gumu kutokana na mashabiki
wa pande zote mbili kuchapana vilivyo.














0 COMMENTS:
Post a Comment