February 16, 2015


Zlatan Ibrahimovic ameandika majina hamsini mwilini mwake kupitia michoro ya tatuu.


Hayo ni majina ya watu wenye matatizo ya njaa au chakula.


Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) linasaidia watu milioni 805 na Zlatan ameamua kujichora hao 50 mwilini mwake.


Mshambuliaji huyo wa PGS ya Ufaransa, raia wa Ufaransa Sweden amekuwa akiiunga mkono WFP kutokana na kazi hiyo ya kuwasaidia wenye matatizo ya chakula cha kutosha.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic