Mchezaji wa timu ya Herediano
alikimbizwa hospitali baada ya kupigwa buti kichwani wakati wa michuano ya ya Ligi
ya Mabingwa Amerika Kusini chini ya Shirikisho la Soka barani humo (Concacaf).
Mechi hiyo ya nusu fainali
kati ya Herediano ya Costa Rica dhidi ya Club America tukio hilo liliwashitua
wengi uwanjani hapo.
Huku dakika zikiwa
zinayoyoma, beki wa Club America Paolo Goltz alikuwa akiosha mpira lakini buti
lake liliishia kichwani mwa Cristhiam Lagos.
0 COMMENTS:
Post a Comment