March 7, 2015

Pamoja na kukataa katakata kuwa hakumtemea Papis Cisse, beki wa Man United, Jonny Evans amefungiwa mechi sita.


Awali Cisse anayekipiga Newcastle alifungiwa mechi saba kwa kumtemea kwa makusudi beki huyo. Naye akajibu mapigo na aliposikilizwa na kamati akakanusha.


Lakini picha za gazeti la Daily Mail, ndiyo limemaliza mchezo wote kama ushahidi, beki huyo naye amekumbana na adhabu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic