KOCHA WA TAIFA STARS, MART NOOIJ ALIKUWA UWANJANI WAKATI AZAM FC IKIFANIKIWA KUIFUNGA JKT RUVU KWA BAO 1-0 KATIKA MECHI NGUMU YA LIGI KUU BARA KWENYE UWANJA WA AZAM COMPLEX, DAR.
KATIBU MKUU WA AZAM FC, NASSOR IDRISA (KUSHOTO) AKIWA NA MKURUGENZI WA MIPANGO WA AZAM FC, SAAD KAWEMBA WAKIJADILI JAMBO WAKATI WA MECHI HIYO. |
0 COMMENTS:
Post a Comment