Jumba la kifahari
lililokuwa linamilikiwa na bondia Mike Tyson litabadilishwa na kuwa kanisa.
Jumba hilo lililokuwa mali
ya Tyson liko katika eneo la Southington, Ohio nchini Marekani.
Tyson alilazimika kuliuza
jumba hilo mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni 1.3 baada ya kukumbwa na
kashfa ya ubakaji.
Muonekano wa jumba hilo
pamoja na kujengwa na kunakshiwa kifahari, limekuwa likionekana kama gofu.
0 COMMENTS:
Post a Comment