Kampuni ya Jaguar Land Rover’s (JLR) imetoa gari
jipya aina ya Range Rover linaloelezwa kuwa litawapa wazimu mastaa mbalimbali
wakiwemo wa soka na muziki.
Gari hilo lenye thamani ya pauni 150,000 litatumika
katika filamu mpya ya James Bond 007 inayojulikana kwa jina la Spectre.
Leo au kesho, gari hilo litaonyeshwa hadharani
kwa mara ya kwanza katika maonyesho maalum ya magari jijini New York, Marekani.
0 COMMENTS:
Post a Comment