Bao pekee la kichwa la Mrundi, Didier
Kavumbagu limeipa Azam FC pointi tatu muhimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya
wagumu Ruvu JKT.
Katika mechi hiyo iliyopigwa Azam Complex
jijini Dar, Azam FC imefanikiwa kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwanza ni pointi tatu muhimu ikiwa mbioni
kuwania ubingwa kwa mara ya kwanza chini ya Kocha Mganda, George Best Nsimbe.
0 COMMENTS:
Post a Comment