March 5, 2015

 
Yanga imeendelea na mazoezi yake mjini Bagamoyo kujiandaa kuivaa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar, Jumapili.


Kocha Msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa ameonyesha kutokuwa na utani hata kidogo na suala la mazoezi.
 
Kila aliyefanya utani au kuzembea, basi mara moja alikutana na adhabu ya kupiga push up.

Kipa Ally Mustapha ni kati ya waliokutana na adhabu hiyo ya Mkwasa ambaye alikuwa makini muda wote.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic