Muigizaji maarufu wa filamu, Ray Kigosi ndiye anaaminika
kuongoza kuhudhuria mechi za Yanga.
Kigosi ambaye ni shabiki mkubwa wa Yanga amekuwa akionekana mara kwa mara katika mechi za Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Kigosi ambaye ni shabiki mkubwa wa Yanga amekuwa akionekana mara kwa mara katika mechi za Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Kama haitoshi, mara kadhaa amekuwa akiifuata Yanga
inapokwenda kucheza mikoa ya karibu na hasa Morogoro.

0 COMMENTS:
Post a Comment