March 27, 2015


Wanamichezo Joe na Illiana wa mji mdogo wa Ocoee, Florida nchini Marekani, wametoa kali baada ya kuvishana pete kwa mtindo wa aina yake.
 Wawili hao wamevishana pete huku wakitumia staili za aina mbalimbali kuonyesha kweli wao ni wanamichezo.


Joe na Illiana wanatarajia kufunga ndoa Aprili 30, mwaka huu ili kutimiza kiu yao ya siku nyingi zilizopita.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic