March 27, 2015


Mshambuliaji wa Brazil, Neymar ameonyesha kiwango cha juu wakati Brazil ikilipa kisasi cha kufungwa mabao 3-0 na Ufaransa katika fainali Kombe la Dunia mwaka 1998.


Katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika ardhi ya Ufaransa kwa mara nyingine tena ikizikutanisha timu hizo, Ufaransa walitangulia mapema kwa bao la beki Varane katika dakika ya 21.

Lakini Neymar aliyekuwa hatari kwa mabeki wa Ufaransa alianza kuwachachfra na kusainia kupatikana kwa bao la kusawazisha katika dakika ya 40, mfungaji akiwa Oscar.
Baadaye Brazil ilipata mabao mawili kupitia Neymar na Luiz Gustavo.

Ufaransa: 
Mandanda 6.5, Sagna 5.5, Varane 6, Sakho 6, Evra 6, Matuidi 6 (Giroud 84 mins), Schneiderlin 6.5, Sissoko 6 (Kondogbia 74), Griezmann 6.5 (Fekir 74), Benzema 4.5, Valbuena 7 (Payet 82)
Subs not used: Costil, Jallet, Guilavogui, Zouma, Tremoulinas, Lacazette, Koscielny, Ruffier.
Goal: Varane 21  

Brazil: 
Jefferson 6.5, Danilo 6.5, Miranda 6.5, Thiago Silva 7, Luis 6.5, Gustavo 6.5(Fernandinho 90), Elias 6.5 (Marcelo 92), Oscar 7 (Souza 86), Neymar 7, Willian 7.5 (Douglas Costa 83), Firmino 6 (Adriano 88)
Subs not used: Diego Alves, Gil, Gabriel, Fabinho, Robinho, Coutinho, Grohe.
Goals: Oscar 40, Neymar 57, Luiz Gustavo 69

Referee: Nicola Rizzoli (Italy).





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic