April 22, 2015

 Licha ya suruali yake kuwa na tobo, yaani imechanika, Kocha Pep Guardiola wa Bayern Munich alipambana vilivyo kuhakikisha timu yake inashinda mechi dhidi ya FC Porto baada ya kuwa imepoteza mechi ya kwanza kwa mabao 3-1 ugenini.


 Pamoja na kujua hilo, Guardiola pamoja na kujua hilo, bado aliendelea kupambana bila ya kujali.
 Mapambano hayo yalipata majibu baada ya Bayern kuibuka na ushindi wa mabao 6-1. Hivyo kusonga kwa jumla ya mabao 7-4.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic