Bondia
ngangari, Wladimir Klitschko ameonyesha licha ya kuwa mbabe lakini ni baba
mwema.
Ameonyesha
ni baba anayejali baada ya kutumia muda wake mwingi akiwa na binti yake wa
miezi minne.
Klitschko
alitumia muda mwingi akiogelea na binti huyo kwa raha mustarehe.
0 COMMENTS:
Post a Comment